Msaada kwa wataalamu wa computer software

Rashford Lingard

JF-Expert Member
Feb 9, 2018
905
1,000
Nifanye nini kutatua tatizo hili.
Natumia windows 7 bit 32
Inaandika "The application was unable to start correctly (0xc0000005). Click oOk to close the program.

Hii ni kila nikijarbua kufungua application
 

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
7,217
2,000
Nifanye nini kutatua tatizo hili.
Natumia windows 7 bit 32
Inaandika "The application was unable to start correctly (0xc0000005). Click oOk to close the program.
si ubonyeze OK; to close !!!
watu wengine bahna! mnapataga tabu hata kwa mambo marahisi kabisa; Click OK to close the program OVER!! Then tafta ingine weka! simple
 

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
7,217
2,000
siku ingine usipate tabu, fuata maelekezo tu computer ni kama barabara ukijua kusoma alama za barabarani unafika salama!
Maana kuna sehemu mtu unaandikiwa NO WAY! Bado kuna mtu anaforce kupita!
na computer ni hivo hivo ikikwambia please click LEFT fuata hivo hivo
 

sinajinasasa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
2,287
2,000
Nifanye nini kutatua tatizo hili.
Natumia windows 7 bit 32
Inaandika "The application was unable to start correctly (0xc0000005). Click oOk to close the program.

Hii ni kila nikijarbua kufungua application
Nadhani umevamiwa na minyoo yaani worm/ trojans kazi yao ni kutafuna / kubadilisha drivers wa hiyo pc yako jaribu kutafuta / download bitware then scan uondoe hizo malicious programs kwa pc yako
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom