Msaada: PC yangu ina tatizo la F2/F12 keys

Msaada: PC yangu ina tatizo la F2/F12 keys

shylock

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
798
Reaction score
1,344
Juzi nilikuwa nataka kuupdate window. ikazingua nikaamua ni reboot. sasa tangu juz inaandika " press [f2] for setup, press [f12] for boot device selection menu. Nimejaribu kubonyeza vyote ila bado inarudi kule kule nmetoa hadi battery bado tu. Naomba msaada
 
Nidhairi baadhi ya mafaili yameharibiwa,haiwezi kuboot tena .
Chakufanya tafuta cd ya hiyo windows update tena.
Angalizo! Tumia cd hile hile iliyo tumikaka kuinstall windows ya mwanzo na si nyingineyo maana mpangilio wa mafaili hutofautiana Kati ya cd moja na nyingine
 
asante mkuu. lemy try.
 
juzi nilikuwa nataka kuupdate window. ikazingua nikaamua ni reboot. sasa tangu juz inaandika " press [f2] for setup, press [f12] for boot device selection menu. nimejaribu kubonyeza vyote ila bado inarudi kule kule nmetoa hadi battery bado tu. naomba msaada
Uko wapi??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom