Laptop yangu nikiiwasha inaleta ujumbe wa "no bootable devices found"

Nassib Ws

Senior Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
170
Reaction score
115
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavosomeka. Laptop yangu DELL INSPIRON 14-3452 nikiiwasha inaleta huo ujumbe na inanipa options za [ f1 retry boot] [f2 for setup utility] na [f3 to run onboard diagnostics]. Mimi sina ujuzi wa hayo mambo sijui nafix vipi hilo tatizo, kama kuna anayejua anielekeze tatizo ni nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko pande zipi,ili kama kuna mdau humu uko nae karibu anaweza kukusaidia kupiga window nyingine
 
Kuna sababu 2 computer kusema hivyo
1. Ambayo hutokea mara nyingi. Kama umeweka flash au kuna cd kwenye computer toa.

Hii utokana kama sequence ya kuchagua device to boot with ikiwa imewekwa cd ama flash badala ya Hard disk.

2. Program inayotumika kuwasha computer (boot loader) ime corrupt au imefutwa. Solution inahitaji mtaalumu, mwenyewe hutoweza.

Kwa hiyo kwa sasa, angalia kama kuna flash disk ama cd kwenye computer uzitoe na ujaribu kuwasha tena.
Ondoa vitu vyovyote ulivyounga na pc including simu na vifaa vingine.

Then washa na ulete mrejesho.

Hapana...1.possibly kwenye bios set up kumechange Mara nyingi laptop inawaka kwa kuboot from CD /hdd n.k so km hazijakuwa selected kwenye bios haitawaka 2.possibly hard disk imekufa na hii inawezekana km bios setup haijachezewa na MTU hasiyekuwa mzoefu....
Suluhu
1.kaangalie bios set up km kuko ok
2.km set up iko fresh toa HDD weka nyingine @ km SMS haiji tia window endelea
BT muhimu set bios first boot iwe hdd

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapo tandika windo mpya maana inaonyesha Kuna file la windo limecorrupt
Imefutwa butabo ,
Ni simple katengenezee botabo

Sent using Jamii Forums mobile app
mnaelewa ni NO BOOTABLE DEVICE FOUND
sio NTLDR missing

yaan hapo HARDDISK haijasoma kwenye BIOS

mkuu jambo la kwanza linakuwa Pengne harddisk imechomoka ifungue irudishie vizuri hizo dell ndo tabu zake mara nyingi nati za kushikia harddisk zimefunguliwa hazikurudishiwa so hdd inajichomoa kitokana na mitikisiko jaribu kwanza kufix hilo nenda kwa fundi simu muombe aifungue afunge vizuri hdd kwanza au kama unayo screw driver fanya kuifungua then irudishie vizuri then washa ikiendelea kuleta ujumbe huo huo basi mchawi atakuwa harddisk imekufa inabidi ununue mpya au imecorupt harddisk ili ipone inahitaji kuformatiwa yote ila data zako zote zitapotea labda kwa kuirecover kwa kuifanya xteno kabla hujaitia window

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana...1.possibly kwenye bios set up kumechange Mara nyingi laptop inawaka kwa kuboot from CD /hdd n.k so km hazijakuwa selected kwenye bios haitawaka 2.possibly hard disk imekufa na hii inawezekana km bios setup haijachezewa na MTU hasiyekuwa mzoefu....
Suluhu
1.kaangalie bios set up km kuko ok
2.km set up iko fresh toa HDD weka nyingine @ km SMS haiji tia window endelea
BT muhimu set bios first boot iwe hdd

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo, zinawezekana lakini kama umesoma post ya mtoa mada, yeye hana ujuzi wa computer, huko kwenye bios kaendaje?

Kama someone aliingia angesema. Kulingana na maelezo yake, likely bios haijaguswa. Kwa hiyo posibity ya ishu ni hizo nilizotaja.

Bios set up..in a change automatically BT ni Mara chache kwa sababu Fulani uwa inatokea...BT laptop ikileta hiyo text kwa sisi mafundi wa zamani wakongwe first unacheck bios then unacheza na HDD ikizingua unaendelea na mengine hiyo ni first step...pia mtoa mada VP HDD inagonga au hausikii kitu kinagonga ukiwasha laptop?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnaelewa ni NO BOOTABLE DEVICE FOUND
sio NTLDR missing

yaan hapo HARDDISK haijasoma kwenye BIOS

mkuu jambo la kwanza linakuwa Pengne harddisk imechomoka ifungue irudishie vizuri hizo dell ndo tabu zake mara nyingi nati za kushikia harddisk zimefunguliwa hazikurudishiwa so hdd inajichomoa kitokana na mitikisiko jaribu kwanza kufix hilo nenda kwa fundi simu muombe aifungue afunge vizuri hdd kwanza au kama unayo screw driver fanya kuifungua then irudishie vizuri then washa ikiendelea kuleta ujumbe huo huo basi mchawi atakuwa harddisk imekufa inabidi ununue mpya au imecorupt harddisk ili ipone inahitaji kuformatiwa yote ila data zako zote zitapotea labda kwa kuirecover kwa kuifanya xteno kabla hujaitia window

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa haya maelezo yako. Ninapata pa kuanzia hata nikienda kwa fundi ajue namimi nafahamu asije kunipiga hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bios set up..in a change automatically BT ni Mara chache kwa sababu Fulani uwa inatokea...BT laptop ikileta hiyo text kwa sisi mafundi wa zamani wakongwe first unacheck bios then unacheza na HDD ikizingua unaendelea na mengine hiyo ni first step...pia mtoa mada VP HDD inagonga au hausikii kitu kinagonga ukiwasha laptop?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wa zamani wa mwaka gani? Unadhani mimi wa jana?
Anyway hakuna haja ya kulumbana. Lengo jamaa avuke. Afanye vyote hamna shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnaelewa ni NO BOOTABLE DEVICE FOUND
sio NTLDR missing

yaan hapo HARDDISK haijasoma kwenye BIOS

mkuu jambo la kwanza linakuwa Pengne harddisk imechomoka ifungue irudishie vizuri hizo dell ndo tabu zake mara nyingi nati za kushikia harddisk zimefunguliwa hazikurudishiwa so hdd inajichomoa kitokana na mitikisiko jaribu kwanza kufix hilo nenda kwa fundi simu muombe aifungue afunge vizuri hdd kwanza au kama unayo screw driver fanya kuifungua then irudishie vizuri then washa ikiendelea kuleta ujumbe huo huo basi mchawi atakuwa harddisk imekufa inabidi ununue mpya au imecorupt harddisk ili ipone inahitaji kuformatiwa yote ila data zako zote zitapotea labda kwa kuirecover kwa kuifanya xteno kabla hujaitia window

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes huu ni ushauri wa kiufundi...hapo na bios au HDD..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom