Bashatu
JF-Expert Member
- Nov 8, 2015
- 834
- 885
Natumai mmeamka salama.
Naomba msaada tafadhali,
Kama kuna mtu anayefaham kikundi/vikundi vya wakulima wa Vanilla (associantions/AMCOS) katika mikoa ya Morogoro wilaya yoyote, Mkoa wa Mbeya na Rukwa pamoja na Katavi naomba anijulishe.
Kama ntapata jina la kikundi, mawasiliano ya mwenyekiti/katibu au mwanakikundi ntashukuru sana.
Muwe na weekend njema.