Msaada kwa wajuzi wa smart phone

achana na izo takataka (Tecno,Infinix) utakuja juta aisee, kwa iyo ela unapata Samsung nzuri tu, Huawei au Xiaomi
 
Helio p23 kwa laki 6? Kweli wajinga waliwao. Mkuu siku hizi simu zote za zaidi ya laki 4 angalau zina core kubwa na ndogo, si samsung wala wachina wanaojielewa wote wanatumia hivyo.
 
Wamezindua infinix zero 6 inauzwa 850,000/-
Bila shaka kuna vitu wame advance
Angalau hii ina sd660, ila still ni ghali, ingekuwa miaka kadhaa iliopita ingemake sense. Redmi note 7 with same specs haifiki hata laki 4, kwa hio bei waweza nunua redmi note 7 mbili na unabakiwa na change.

Hawa jamaa wana overprice vitu vyao na kudanganya watu sana, yaani wanafanya hadi brand kama Apple na samsung zionekane zinauza vitu bei rahisi.
 
Mkuu unaizungumziaje hiyo simu kwa hiyo bei Infinix note 5 stylus kwa laki sita unusu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…