Msaada kwa wajuzi wa smart phone

achana na izo takataka (Tecno,Infinix) utakuja juta aisee, kwa iyo ela unapata Samsung nzuri tu, Huawei au Xiaomi
 
Helio p23 kwa laki 6? Kweli wajinga waliwao. Mkuu siku hizi simu zote za zaidi ya laki 4 angalau zina core kubwa na ndogo, si samsung wala wachina wanaojielewa wote wanatumia hivyo.
 
Wamezindua infinix zero 6 inauzwa 850,000/-
Bila shaka kuna vitu wame advance
Angalau hii ina sd660, ila still ni ghali, ingekuwa miaka kadhaa iliopita ingemake sense. Redmi note 7 with same specs haifiki hata laki 4, kwa hio bei waweza nunua redmi note 7 mbili na unabakiwa na change.

Hawa jamaa wana overprice vitu vyao na kudanganya watu sana, yaani wanafanya hadi brand kama Apple na samsung zionekane zinauza vitu bei rahisi.
 
Mkuu unaizungumziaje hiyo simu kwa hiyo bei Infinix note 5 stylus kwa laki sita unusu.
Angalau hii ina sd660, ila still ni ghali, ingekuwa miaka kadhaa iliopita ingemake sense. Redmi note 7 with same specs haifiki hata laki 4, kwa hio bei waweza nunua redmi note 7 mbili na unabakiwa na change.

Hawa jamaa wana overprice vitu vyao na kudanganya watu sana, yaani wanafanya hadi brand kama Apple na samsung zionekane zinauza vitu bei rahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeikuta pahala infinix note 5 stylus kwa Bei ya laki sita unusu. Je,Hawa jamaa wame-advance kitu gani kwa divice zao Hadi kufikia bei hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu jaribu Xiaomi Mi A2 yenye 4gb ram, 64gb rom, snapdragon 660 unaipata chini ya laki tano. infinix wezi!
-2106156638-1933342428.jpeg
-210615663892144489.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom