msaada kwa nokia n70

selestin john

Member
Jan 20, 2012
67
8
jamani simu yangu nokia n70 inanichanganya sana maana siwezi kuandika wala kusave message,inaleta ujumbe memory low delete some data first,cha ajabu nimeshafuta vitu vingi sana lakini bado vilevile,msaada wenu please!
 
possible problem

1. Unafuta data za memory card wakati inayotakiwa kua freed ni memory ya simu
Ushauri: nenda file manager futa vitu vya phone memory

2. Kuna application zinafanya kaz underground zinamaliza ram
Ushaur download task manager angalia application za background then go to application manager zi un install

3. Simu ina virusi vya kichina vinavyojaza memry
Ushaur i scan kwa pc kujua
 
brother hilo swala la 3 nakubaliana nalo kabisa,sababu nimeshafuta application zote nilizozifanyia installation lakini hakuna kitu.thanks sana bro nita try kuiscan kwenye pc
 
Ina virus na hata ukiscan kwa pc huwa n70 haifai. Mine ilikuwa inasumbua ivyo ivyo bt after smtime inakuwa normal. Fanya udownload norton kwa ajili ya cm! Pole mwayego!
 
b4 u scan on pc, do thc ingza hz code *#7780# note. Uwe unajua general pcwrd za cm yako eg. 1234 bcoz cant rstr wthout pcwrd, zkshndkana hzo tell nkupe baab kubwa hzo ztakuwa final try that fst

i lyk ths bt paswed km nshazisahau inakuwaje hapo?
 
b4 u scan on pc, do thc ingza hz code *#7780# note. Uwe unajua general pcwrd za cm yako eg. 1234 bcoz cant rstr wthout pcwrd, zkshndkana hzo tell nkupe baab kubwa hzo ztakuwa final try that fst

nimejaribu hizo no. Na general password za cm yangu lakini bado so kama vp niambie njia nyingine kaka.
 
Kama hujali kupoteza data format tumia njia hii

1. Zima simu

2.bonyeza button ya kijani (cha kupigia simu) nyota (*) na namba tatu (3) kwa mpigo then washa simu huku umeshkilia hizo button

3. Ur done simu yako italose data itakua kama ndo umeinunua
 
huwezi kuamini kama braza yaani sasa kila kitu safiii kabisa we ni bonge la genius bro,thanks kwa msaada wako,sijui bila jf ningepata wapi msaada kama huu,jf daima idumu.thanks all
 
Back
Top Bottom