Msaada kwa ndugu yetu.

Msaada kwa ndugu yetu.

Eng.Dullah

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
372
Reaction score
304
Habari wakuu!

Kwanza nitoe shukuran juu ya mtandao huu penda jinsi ulivyo kuwa msaada kwangu Na kwa jamii nzima.

Ndugu zangu dhumuni kubwa la huu uzi ni kutaka msaada kwenu juu ya ndugu yangu katika ufumbuzi wa ajira au sehemu ya kupata uzoefu kazini.

ELIMU YAKE
[HASHTAG]#Diploma[/HASHTAG] ya uhasibu
[HASHTAG]#komputer[/HASHTAG] Application alisoma India mwaka mmoja ila hakumaliza elimu yake kutoka na matatzo ya kifamilia
# Anasoma foundation course NBAA

UZOEFU WAKE
[HASHTAG]#cashier[/HASHTAG] ndani ya mwaka1, kabla hajasomea uhasibu
[HASHTAG]#uhasibu[/HASHTAG] miezi 3
[HASHTAG]#freelancer[/HASHTAG] hadi sasa.

Hivyo basi anahitaji zaid ajikite katika uhasibu kama anavyoamini yeye uzoefu ni mhimu zaidi kuliko Elimu Na hata kama atafanya kazi kwa kujitolea au kazi ya mda .

Tafadhari naamini humu ndani tunazidiana uwezo na kuna watu wa aina tofauti wanaoweza kusaidia watu wenye uhitaji. Yupo serious juu ya hili mda wowote anapatika.
Karibuni sana
 
Back
Top Bottom