Msaada kwa mwenyekujua jamani

Kama huo ni mtaji bado ni mdogo,ila unaweza kuchukua mzigo kwa wafanyabiashara wakubwa wewe ukawa unauza reja reja tu; Ukitaka ujue 7M ni ndogo kwa hesabu za harakaharaka unaweza pata simu kumi tu kwa hiyo nakushauri usifanye safari kama unaitegemea hiyo kama mtaji.
 
Nina 7milioni nataka kusafili kwenda dubai kuchukua biashala ila sijui namna ya kufika huko mwenyekujua

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maisha ya Dubai ninavyoyafaham ukienda ukakaa kwa wiki moja milion 7 yote itaisha kwenye expenses na utarud mikono mitupu.
Kwa hyo pesa ni bora uwatafute wafanyabiashara wa kariakoo wakienda Dubai uwaagize unachokitaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WASHAURI MNAZUNGUKA SAAANA
MTOA MADA WE NENDA UBALOZI WA U.A.E NA PASPOTI YAKO YAKUSAFIRIA (SIO "SIZE") KAOMBE VISA UKIPEWA NENDA UWANJA WA NDEGE KALIPE NAULI UPANDE NDEGE INAYOENDA AU KUPITIA DUBAI UKIFIKA UNASHUKA UNACHUKUA TAX UNAENDA KUNUNU BIDHAA.
 
Ni sawa ila kwa haraka haraka gharama za tiketi ya ndege go & return na Visa itamgharimu Kama milioni 2.
Kwa hiyo ajiandae kwa Hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom