msaada kwa mwenye kufahamu.

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
ndugu wanajamvi napenda kuuliza kwamba mbona majina ya wanafunzi tuliochaguliwa kujiunga na UDSM kama profile zetu zinavyo onyesha kwa kutumia vyeti vya diploma hayaonekani kwenye website ya chuo isipokuwa wameonyesha ya six leavers tu,je hii inamaana gani? pls msaada.
 
Back
Top Bottom