Msaada kwa mtu aliye Kigoma mda huu

Msaada kwa mtu aliye Kigoma mda huu

igihumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
571
Reaction score
548
Habari wapendwa?

Nilikuwa naomba kuuliza kama kuna mtu alie Kigoma kama atakuwa anafaham kinacho endelea kwenye mradi wa maji Kigoma ambao unasimamiwa na kampuni ya SINO HYDRO kama anaweza kuni saidia kumpata mtu yoyote ambae yupo kwenye mradi ili nipate tarifa za ajira maana ndio wameanza.
 
Back
Top Bottom