Anyway...nimeandika vya kutosha ngoja nimalizie hivi:
Wanaume: Mtafuneni sana mke wangu, ili mradi nisijue......Hilo litapita kushoto:
Wanawake: Njooni niwatafune (kama hamjaolewa), ila Mai waifu wangu asijue....sitaki kumuumiza
Wanaume: Mmimbisheni mke wangu, nitawalelea wanenu, ili mradi nisijue.......Hilo litapita kushoto
Wanawake: Njooni niwamimbishe (kama hamjaolewa) ila maiwaifu wangu asijue.....sipendi kumuumiza
Wanaume: ONYO: Msithubutu kuja kuwadai watoto wenu mliomzalisha mke wangu, ambao wananiita baba!
Naogopa sana murder case, Msinitie majaribuni.
Na hili ndilo neno la Babu ODM Bigi braza Asprin
Tumshukuru Invizibo
Duh!
Hii movie mbona kali hivi.
Steringi lazma adedi.
Mwambie mkaka mwizi asing'ang'anie kufanya hivyo. Huyo mtoto ni mdogo na ikitokea mdada mwizi ndoa yake imevunjika mtoto anaweza kuwa katika wakati mgumu.
Inawezekana mke wa jamaa hana mapenzi kutoka moyoni na huyo mtoto na angeletewa alee sidhani kama angekubali.
Wanachekelea kwasababu wanajua mtoto anahudumiwa huko aliko.
Waache unafki wao kujifanya wana mapenzi na huyo mtoto.
Dada mwizi nae hajatulia. Khaa![/QUOTE]
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote, hivi wanawake wengine wakoje? yaani mtu umeolewa halafu unaenda kuzaa na mwanaume mwingine wa nnje? hiyo ndoa ulilazimishwa ama? mimi ndio ningekuwa mume wa huyo dada ni talaka tu hapo nikiujua ukweli hakuna msamaha hapo kwani hata kama ndio ndoa ya kanisani mchungaji/padre mpaka mungu wanaruhusu mwanamke uachwe na mumeo kwa sababu ya uzinzi.
Kwa sababu na mke wa huyo mwizi ameridhika sio mbaya akikubali uke wenza pia
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote, hivi wanawake wengine wakoje? yaani mtu umeolewa halafu unaenda kuzaa na mwanaume mwingine wa nnje? hiyo ndoa ulilazimishwa ama? mimi ndio ningekuwa mume wa huyo dada ni talaka tu hapo nikiujua ukweli hakuna msamaha hapo kwani hata kama ndio ndoa ya kanisani mchungaji/padre mpaka mungu wanaruhusu mwanamke uachwe na mumeo kwa sababu ya uzinzi.
hii habari ni kama ya jirani yangu kabisa mtaani aisee
na mdada kaitwa kwao wana kesi na ukweni walahi
uwa nikiangalia hii nyumba sielewi kbs aya maisha ya ndoa
ngoja nicheki apa suluhisho
Sindo nyie wanaume hua hamchoki kuimba ule wimbo wa "Damu yangu haiwezi kupotea"???Ndicho mwenzenu anachofanya!
Lizzy darling....
Mi si mwaminifu, hilo sikatai. Ila kulichomeka libaioloji langu kwenye donati la mtu aliyeolewa? Hapana asee!.... Halafu ni heri basi nilisokomeze kwa bahati mbaya ya kishetani....(Mungu apitishe mbali)..Ndo kuzalisha tena?.........Hiyo pia yaweza kuwa ushetani wa kupitiliza......sasa balaa kubwa zaidi..........eti KUMDAI MTOTO????? .............$%*&^%*$# ZAKE!!
Hayo matusi adhabu yake ni kuuana tu! Aidha aniue au niue!
Nimerudi DNA test walifanya kwa siri na mtoto ni wa mkaka kabisa .
Nimerudi DNA test walifanya kwa siri na mtoto ni wa mkaka kabisa .
Kudadadeki...
Yaani kale kamatesha navokamaindi na navokagharamia afu lije litokee lijitu liseme eti ni mwanaye............afu liwaifu linihakikishie kuwa ni kweli liliteleza bahati mbaya likampanulia upaja tarehe za kunasa.
1. Lianaume na liwaifu yatakuwa kwenye foleni ya kuingia mochware
2. Mi ntakuwa eidha kwenye msako mkali wa polisi, au nasubiria signecha ya JK ninyongwe
3. Matesha atahamia vituo vya kulelea watoto yatima.
Mwisho wa habari!
Huyo mkaka alipomweleza huyo mpenzi wake kwamba wasema ukweli kwa mumewe kuhusu mtoto alimjibu nini?
Nidai castle light mbili sawa????
Nimerudi DNA test walifanya kwa siri na mtoto ni wa mkaka kabisa .
Amepimia wapi wakati umeme ulikuwa umekatika na vyombo vilikuwa vibovu?