Msaada kwa mkaka

Ila we ukiteleza usamehewe?

Lizzy darling....

Mi si mwaminifu, hilo sikatai. Ila kulichomeka libaioloji langu kwenye donati la mtu aliyeolewa? Hapana asee!.... Halafu ni heri basi nilisokomeze kwa bahati mbaya ya kishetani....(Mungu apitishe mbali)..Ndo kuzalisha tena?.........Hiyo pia yaweza kuwa ushetani wa kupitiliza......sasa balaa kubwa zaidi..........eti KUMDAI MTOTO????? .............$%*&^%*$# ZAKE!!

Hayo matusi adhabu yake ni kuuana tu! Aidha aniue au niue!
 
...Familia ya kiume na mke wa mwizi imekomaa inataka kumuona huyo mtoto. Mume wa dada hana ajualo. Nisaidieni kaka aanzie wapi, na familia ya mkaka mwizi na mdada ni marafiki toka udogoni..

Nawasilisha.

...Huyu mke nae kwanini ameikomalia hii kesi? ...ama dunia ni uwanja wa fujo!

itakuwa majonzi sana na mbaya zaidi ukute huyo baba anampenda sana huyo mtoto ambaye sio wake

...kiukweli, huo ndio ukweli wenyewe.
 
Inauma sana asee.....

Mabinti kibao mtaani hawajaolewa wanatafuta watu wakuwamimbisha, we unaenda kufinyanga baioloji ya mtu aliyejibinafsishia na kuilipia mahari lukuki....unaitumia kama yako na kusokomezea mimbegu yako mumo kwa mumo.....LOL

uchungu wa mke, aujuae mume!!!!!
 
BW ndo maana wahenga walisema mkuki kwa ngurue mtamu...!Wanaume kibao wanazaa nje na kutaka kusamehewa ila mwanamke yeye hata kufikiriwa mara moja tu hapana!Ni ubinafsi uliokithiri...kama hawataki mbegu za wanaume wenzao majumbani mwao na wao wasisambaze zao kwa watu wengine!

Mmmmh!Lizzy hebu acha kuniogopesha bana,
ndo jino kwa jino sytle au ndo uwana harakati wenyewe huu?
 
Mmh naona huyo kaka mwizi hamtakii mema huyo dada mwizi
kama kweli anamtaka huyo mtoto awe tayari kumchukua na mama yake pindi mambo yatakapoharibika (kumuoa) maana wote wamefanya makosa.
 
BW ndo maana wahenga walisema mkuki kwa ngurue mtamu...!Wanaume kibao wanazaa nje na kutaka kusamehewa ila mwanamke yeye hata kufikiriwa mara moja tu hapana!Ni ubinafsi uliokithiri...kama hawataki mbegu za wanaume wenzao majumbani mwao na wao wasisambaze zao kwa watu wengine!

Lizzy...kuzaa nje si hoja hapa ujue. Hoja hapa ni mme wa mwanamke asiye na hatia kuzaa na mke wa mwanaume asiye na hatia.
 
Lizzy darling....

Mi si mwaminifu, hilo sikatai. Ila kulichomeka libaioloji langu kwenye donati la mtu aliyeolewa? Hapana asee!.... Halafu ni heri basi nilisokomeze kwa bahati mbaya ya kishetani....(Mungu apitishe mbali)..Ndo kuzalisha tena?.........Hiyo pia yaweza kuwa ushetani wa kupitiliza......sasa balaa kubwa
Hiyo bahati mbaya ikizaa mtoto je?Maana hata hawa sidhani kama walipanga..kuna uwezekano nao hili sakata limetokana na BAHATI MBAYA yao!
 
Hiyo bahati mbaya ikizaa mtoto je?Maana hata hawa sidhani kama walipanga..kuna uwezekano nao hili sakata limetokana na BAHATI MBAYA yao!

Sasa ndo lidume likajishobodoe kudai mtoto? Si heri akauke bahati mbaya iendeleekuwa mbaya?
 
Mmmmh!Lizzy hebu acha kuniogopesha bana,
ndo jino kwa jino sytle au ndo uwana harakati wenyewe huu?

Bacha usiogope bwana..unless na wewe una mawazo ya kuona ukifanya wewe ni bora kuliko akifanya mwenzako!Msiwe wabinafsi..kama hutaki kutukanwa usimtukane mtu mwingine!
 
...Huyu mke nae kwanini ameikomalia hii kesi? ...ama dunia ni uwanja wa fujo!

...kiukweli, huo ndio ukweli wenyewe.

Mbu...huyo mama anafikiria pesa za matumizi zinazopelekwa huko kumuhudumia mtoto ni bora amkomalia zirudi ndani.....
 
uchungu wa mke, aujuae mume!!!!!

....dah, kwa kesi hii nakubaliana nawe 100%...Yaani;
  • jamaa katembea na mke wangu,
  • kanitilia mimba, halafu
  • anakuja kumdai mtoto
  • niliyedanganywa na mywaifu kuwa ni wangu?!
...hii haisameheki kabisa bana. Ni kuvunjiwa heshima kwa kiwango kilichopitiliza.
 
Lizzy...kuzaa nje si hoja hapa ujue. Hoja hapa ni mme wa mwanamke asiye na hatia kuzaa na mke wa mwanaume asiye na hatia.
Hehehe haya ngoja nirudi kwenye mada...wote hawastahili huruma!Wangepewa talaka ili wawe jizi+jizi=majizi ili wasio na hatia wasiendelee kuonewa!
 
Wakae kimya kwa sasa. Mama atakuja kusema siku mumewe akifa, au huyo mama akifikia kufa (kama ataugua au hali ya uzee)
 
Mtoto anayo haki ya kumfahamu Baba/mama yake. Kwa kisa hiki wote baba na mama wanafahamika.
Mtoto apewe haki yake.
 
Hapo pana takiwa uwangalizi wa jicho la tatu, kivipi mwanamke kuzaa nje ya ndoa inawezekana mumewe ana matatizo yaelekea jamaa (mume wa mke mwizi) anamatatizo ya uzazi . Iweje ndugu wa mkewe wanajua binti yao kazaa nje ya ndoa kuna ulakini hapo kati.
Kama kweli mume anamatatizo ya uzazi basi afe na pini shingoni kutunza heshma yake kwa mkewe na akubali kuletewa watoto wa njee ya ndoa yake hadi mungu amchukue.

Kuhusu mke wa mume alie zaa nje ya ndoa yake asubiri siku ikifika ataona mtoto ama huyo mume achukue picha ya mtoto amwonyeshe mkewe bila ya kumwambia pahala mtoto anapoishi wala shule anayo soma ili mke wa mume mwizi asiende kumharibia mwenzake.
 
Sasa ndo lidume likajishobodoe kudai mtoto? Si heri akauke bahati mbaya iendeleekuwa mbaya?
Sindo nyie wanaume hua hamchoki kuimba ule wimbo wa "Damu yangu haiwezi kupotea"???Ndicho mwenzenu anachofanya!
 
Anyway...nimeandika vya kutosha ngoja nimalizie hivi:

Wanaume: Mtafuneni sana mke wangu, ili mradi nisijue......Hilo litapita kushoto:
Wanawake: Njooni niwatafune (kama hamjaolewa), ila Mai waifu wangu asijue....sitaki kumuumiza
Wanaume: Mmimbisheni mke wangu, nitawalelea wanenu, ili mradi nisijue.......Hilo litapita kushoto
Wanawake: Njooni niwamimbishe (kama hamjaolewa) ila maiwaifu wangu asijue.....sipendi kumuumiza
Wanaume: ONYO: Msithubutu kuja kuwadai watoto wenu mliomzalisha mke wangu, ambao wananiita baba!
Naogopa sana murder case, Msinitie majaribuni.

Na hili ndilo neno la Babu ODM Bigi braza Asprin
Tumshukuru Invizibo
 
Lizzy darling....

Mi si mwaminifu, hilo sikatai. Ila kulichomeka libaioloji langu kwenye donati la mtu aliyeolewa? Hapana asee!.... Halafu ni heri basi nilisokomeze kwa bahati mbaya ya kishetani....(Mungu apitishe mbali)..Ndo kuzalisha tena?.........Hiyo pia yaweza kuwa ushetani wa kupitiliza......sasa balaa kubwa zaidi..........eti KUMDAI MTOTO????? .............$%*&^%*$# ZAKE!!

Hayo matusi adhabu yake ni kuuana tu! Aidha aniue au niue!

Hivi kukosa uaminifu kwenye ndoa sio ushetani???
Babu, hata kulisokomeza baioloji lako kwa mke wa mwenzako pia ni ushetani, hiyo kuzaa ni matokeo tu ya ushetani.
Assume umejua na mkeo amekubali kwamba ni kweli mume wa shoga yake alikuwa analisukumiza libaoloji lake kwenye ndinga ya mkeo, hata kama hawajazaa, utaona ni nafuu??
 
Anyway...nimeandika vya kutosha ngoja nimalizie hivi:

Wanaume: Mtafuneni sana mke wangu, ili mradi nisijue......Hilo litapita kushoto:
Wanawake: Njooni niwatafune (kama hamjaolewa), ila Mai waifu wangu asijue....sitaki kumuumiza
Wanaume: Mmimbisheni mke wangu, nitawalelea wanenu, ili mradi nisijue.......Hilo litapita kushoto
Wanawake: Njooni niwamimbishe (kama hamjaolewa) ila maiwaifu wangu asijue.....sipendi kumuumiza
Wanaume: ONYO: Msithubutu kuja kuwadai watoto wenu mliomzalisha mke wangu, ambao wananiita baba!
Naogopa sana murder case, Msinitie majaribuni.

Na hili ndilo neno la Babu ODM Bigi braza Asprin
Tumshukuru Invizibo

Babu, badala ya kuua naona utakufa wewe kwa presha.
 
Back
Top Bottom