Kama hamtaki mimba acheni uzinifu...tuone kama zitaingia kwa njia ya hewa
sema tuache uzinzi wote wake kwa waume bana wewe.
Kama hamtaki mimba acheni uzinifu...tuone kama zitaingia kwa njia ya hewa
Kuna mdau mmoja ameniomba ushauri na akaomba pia niwaeleze na nyie wadau ili mumpe ushauri pia apime. Ni kwamba walikutana na binti wakazoeana na siku moja wametoka out lahaula yakawapanda wakala "tunda".
Sasa Jana hiyoo binti anadai haoni "siku zake" ndo mdau kachanganyikiwa hajui afanyeje na anadai hayuko tayari kulea. Binafsi nimemwambia akacheki kama ni mimba na kama ni mimba bhasi walee tuu maana mm sio muumini wa kuchoropoa mimba.
Hebu na wewe mpatie mdau ushauri afanyeje.
Nb: tuvumiliane na lugha zetu.
sio uzinifu tu unaoleta mimba hata ndoa za halali zinaleta mimba tena nyingi kuliko za uzinifu sasa nafkiri ulimaanisha ngono au???
sio uzinifu tu unaoleta mimba hata ndoa za halali zinaleta mimba tena nyingi kuliko za uzinifu sasa nafkiri ulimaanisha ngono au???
Mkuu angekuwa ndoani asingeomba ushauri juu ya mimba mkuu.....
Mwanaume aliyeoa hawezi changanyikiwa kisa eti mkewe haoni siku.
Tunachanganyikiwa sisi viruka njia tuuu...na ndomaana Dada akasema uzinzi maana ngono(sex) ktk ndoa ni tendo takatifu lakini nje ya ndoa ni zinaa aka uzinzi.
she.nzi wanawake hawa watatumaliza na hizi mimba
Kama hamtaki mimba acheni uzinifu...tuone kama zitaingia kwa njia ya hewa
mkuu angekuwa ndoani asingeomba ushauri juu ya mimba mkuu.....
Mwanaume aliyeoa hawezi changanyikiwa kisa eti mkewe haoni siku.
Tunachanganyikiwa sisi viruka njia tuuu...na ndomaana dada akasema uzinzi maana ngono(sex) ktk ndoa ni tendo takatifu lakini nje ya ndoa ni zinaa aka uzinzi.