Innocizy
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,736
- 1,056
- Thread starter
- #21
laini kwa jinsi ulivyoandika ni waz sio rafiki yako n ww mwenyewe
No ts just that am good ktk kufikisha ujumbe kama nilivyopewa...
Kwa kuandika pia am good ndomana unaona kama ni mm kumbe nimevaa viatu vya mtu...
Na hii ndio kazi ya sanaa na fanani