Msaada kwa mdau juu ya hili

Msaada kwa mdau juu ya hili

pipi.jpg
sasa ataskiaje utam bila kuitoa maganda??
hivi wakati anakojoa anaona utamu wa kula pipi bila ganda hakusema .. leo hii tumshauri,,, mwambie avune alichopanda
 
kwani huyo jamaa ako ni wa kiume au mwanaume... aache uoga akubali tu mzigo huo.... mdada kaona future kuna wali nyama daily kwanini asijilipue na mimba akuvunje mbawa ushindwe kwenda kwa wengine...haha.. anyway akubali matokeo
 
Mkuu ujue akiwaza majukumu kichwa inauma kweli.......
Nadhani na wengine tujifunze kutokuuza mechi
 
Ukipiga kavu matokeo ni mawili tu, mimba au ukimwi au vyote kwa pamoja, hakuna mimba ya bahati mbaya labda kwa waliobakwa tu.
 
So mheshimiwa akomae tu sio?
 
Hapo ni kuchomoa tu, kama hayupo tayari kuliko kuleta kiumbe kijekuteseka huku duniani....swala la kupiga kavu sio kosa kabisa kwani hivyo ndivyo inavyotakiwa......Tena wahi mapema kabla zygote ajatengenezwa.....Huwa nasikitika sana na matukio ya wtoto kuzaliwa na kutupwa au kutelekezwa......
 
Mmmh hebu justify kuchoropoa.
 
haoni "siku zake"!!!!?? zitakuwa zimefutika, kwani wengine huwa wanaziandika kwa penseli.:sorry:
 
Yaani sikuhizi mmmhhh. .....unakutana na mtu unamwachia tena kavu!!!!??
Gals gals gals.....ukiachwa na mzigo utamlilia nani?
 
Back
Top Bottom