Msaada kwa mdau juu ya hili

Msaada kwa mdau juu ya hili

Innocizy

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
1,736
Reaction score
1,056
Kuna mdau mmoja ameniomba ushauri na akaomba pia niwaeleze na nyie wadau ili mumpe ushauri pia apime. Ni kwamba walikutana na binti wakazoeana na siku moja wametoka out lahaula yakawapanda wakala "tunda".

Sasa Jana hiyoo binti anadai haoni "siku zake" ndo mdau kachanganyikiwa hajui afanyeje na anadai hayuko tayari kulea. Binafsi nimemwambia akacheki kama ni mimba na kama ni mimba bhasi walee tuu maana mm sio muumini wa kuchoropoa mimba.

Hebu na wewe mpatie mdau ushauri afanyeje.

Nb:Tuvumiliane na lugha zetu.
 
ARV zimewatoa watu akili kabisa....no fear coz watu wanaonekana na afya zao kabisa...
BTW, amevuna alichopanda, akubali matokeo, asikimbie majukumu...kama aliona hayupo
tayari kwa majukumu angefanya mapenzi salama.....
 
Back
Top Bottom