Alkelokas
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 203
- 104
Habari zenu wana JF,Mimi ni fundi simu kwa mda sasa lakin kuna tatizo ambalo nmewahi kumbana nalo hadi sasa sijalipatia ufumbuzi, licha ya kutumia kila mbinu ninayoifahamu,TATIZO LENYEWE NI KUWA,unakuta simu inatumia spika moja kwa maana ya kuitia ama mziki,lakn pia kama ya kusikilizia sikioni unapowasiliana.LAKINI kuna wakati unakuta imegoma kwenye kupga kwa mana ya kusikilza sikioni unapopga/pigiwa,hadi uweke roud speaker,na vlevile milio hailii ila unapopigiwa inaita.NAOMBA KWA MWENYE UZOEFU NA HILI TUSAIDIANE.Natanguliza shukrani.