G55-MGODI JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 1,353 Reaction score 1,827 Jul 15, 2016 #1 Habarini wakubwa, Napenda kuuliza kuwa ukiwa unamiliki application ya simu mfano hii jamii forums. Mwanzilishi au muhusika/mmiliki wa app hiyo anapata faida zipi, na kama mapato anapataje? Natanguliza shukrani.
Habarini wakubwa, Napenda kuuliza kuwa ukiwa unamiliki application ya simu mfano hii jamii forums. Mwanzilishi au muhusika/mmiliki wa app hiyo anapata faida zipi, na kama mapato anapataje? Natanguliza shukrani.
T T24 Senior Member Joined May 6, 2017 Posts 180 Reaction score 308 Jul 4, 2022 #2 Aisee watu walisusia huu Uzi natamani kujua