Msaada kwa iphon 6 jinsi ya kudownload audio

cezarichwa

Member
Aug 16, 2012
29
2
Naombeni mnisaidie jinsi ya kudownload audio kwa kuserch kwenye google na kuweza kizisikiliza offline
 
Mimi natumia App inaitwa 'Tubidy' ni App rafiki sana ijaribu ingawa zipo App nyingi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom