brian360
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 224
- 34
hii simu kuxema kweli nimeipata kwa bei rahisi tofauti na mategemeo yangu nimeangalaia serial no. kama walivyoelekeza ndugu zangu humu JF, No. zile zilikubali kwenye ile site lakin bado na mashaka nataka evidence nyingine ya kunijulisha kama I have genuine I Phone 4s,
Na pia IMEI NO. niliangalia kwa kawaida na ile iliyokuwepo ndani hizo no. zilikuwa tofaut
Na pia IMEI NO. niliangalia kwa kawaida na ile iliyokuwepo ndani hizo no. zilikuwa tofaut