Msaada kwa hili

Mtandaoni

Senior Member
Jul 22, 2013
132
62
Nawasalimu kwa upendo mtakatifu
Jamani wapendwa nina tatizo kwenye ndoa yangu takribani miezi sita sasa tangu kufunga ndoa mke wangu hajabahatika kushika mimba nimejaribu kufanya tendo la NDOA kwa nyakati halisi ila hatujafanikiwa pia mke wangu mzunguko wa siku haunana idadi ya siku maalumu Maana ziko aina tatu ambazo ni siku 26,27,28 haya ni mabadiliko ya kila mwezi, Je inaweza changia tatizo la kushika mimba ama nifanye tendo la NDOA kwa siku ipi kwa mizunguko hiyo naomba msaada asanteni
 
Mmmh ngoja wataamu waje kuwasaidia...ila sisi tulikaa 4 year bila bila lkn sasa tunao 3....namaanisha miezi 6 ni michache sana
 
Nawasalimu kwa upendo mtakatifu
Jamani wapendwa nina tatizo kwenye ndoa yangu takribani miezi sita sasa tangu kufunga ndoa mke wangu hajabahatika kushika mimba nimejaribu kufanya tendo la NDOA kwa nyakati halisi ila hatujafanikiwa pia mke wangu mzunguko wa siku haunana idadi ya siku maalumu Maana ziko aina tatu ambazo ni siku 26,27,28 haya ni mabadiliko ya kila mwezi, Je inaweza changia tatizo la kushika mimba ama nifanye tendo la NDOA kwa siku ipi kwa mizunguko hiyo naomba msaada asanteni
Najua una presha Sana mi wangu alishka baada ya miez 7 ila after 6 months tulienda hospital tukakutwa hatuna tatizo tukapewa dawa tukameza tuliandikiwa na dokta now wife soon atajifungua miez 6 bado saaanaa ikipita mwaka kidogo unaweza kuangalia nini shda hospital
 
Back
Top Bottom