Msaada kwa hii PC

Rai Pazzy

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2015
Posts
493
Reaction score
187
Wakuu habari za jioni
Naomba kwa wenye uelewa na mambo ya computer wanisaidie katika hili
Nina pc yangu aina ya lenovo G50 inatatizo
1.kuwaka inasumbua yani ukiiwasha inakuandikia jina la lenovo tuu inaweza ikaganga hapo mpka uiforce shutdown
2.HDD siioni, i mean yani nikiingia katika my computer nakutana na local disk c na zile disc nyengne hazionekani yani zile local disk d na local disk E.
Lakini pamoja na hayo hapo yote zile application ambazo niliziinstall katika local disk d zinafunguka kama kawaida but kule kwenye my computer local disk d na e hazionekani
Naombeni kwa wenye uelewa wa haya mambo wanipe ufumbuzi vizuri hii inatokana na nini
Na nnawezaje kulishughulikia hili tatizo
Nawasilisha
 
utakuwa umezificha au umeziweka ndan ya disk nyngne
Hakuna mkuu tena ilianza kupotea local disk d
Nkawa hata skushughulika nayo
Ila sasa hvi nayo local disk e nayo imesepa so inanipa mashaka
 
Kuna possibility uliformat hizo partition mbil bila kujua au mtu alikusaidia kufanya ivo. Kama sio hivyo basi jarbu kusearch chcht kilichokua ndan ya local disk d kama utakipata angalia location yake kwa saiv ndan ya computer yako
 
Nimeshafanikiwa kurudisha vitu vyangu thanks kwa alinielekeza Mungu ambariki sana
 
Nisaidieni hapa...
Pc yangu ya dell nikiiwasha huwa inaniletea kitu km hichi.... ... Nisaidieni
 
shusha windows hapo ufanye partition upya.hiyo ishavurugwa na virus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…