Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,351
- 8,087
Akyanani...nimepishana naye sasahivi hapa kariakoo,Kavaa kanzu na midevu mingi,na anaogopa "mnyama"
Namjua! Una shiling ngapi tukupe mchongo!
hii ndo jf! raha sana!
Shetani nilisoma nae shule ya msingi songea.
Shetani nilisoma nae shule ya msingi songea,alikua anakua wa mwisho darasani.
Baadae alihamia mbamba bay,nasikia alikua anakua wa kwanza huko
kwa sasa sijui yuko wapi,mara nasikia watu wanasema anaishi makaburini,mara baharini,mara mbinguni,sijui kwa kweli yuko wapi ila ni mtu mzuri sana.
Hivi shetani yupo mmoja nae?unataka kumfaham Mungu ambaye tunaamini ni mmoja,unataka kumjua shetani pia ambaye kazi yake tunaaminishwa ni mbaya tu.Kila kibaya kinachotokea maishani mwetu huwa tunasema ni kazi ya shetani,hasa kwa wanaoamini katika dini.Kuna watu pia wanamwabudu shetani kama mungu wao,na miungu shetani wapo wa aina nyingi nadhani.