Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Hivi mfano mtu ukasoma Uganda hivi akitaka kufanya kazi Tanzania ya hili course wataangalia GPA zake au wataangalia nini?? Kwa maana kuna mtu ameniambia ukisomea nchi kama uganda eti unakuwa haufahamiki yaani cheti chako hakitambuliki hapa nchi labla uombe kazi huko huko uganda???
Sasa mfano umesoma kuanzi 4m 1 hadi 6 Tanzania ila kwa sababu elimu ya Tanzania ndio kama unavyoiona ukaenda chuo cha serikali cha nuganda mfano makerere kuna haja ya kupitia TCU tena???Wasilisha cheti chako TCU, watathibitisha elimu hiyo na "document" watakayokupa itatumika sambamba na cheti chako cha chuo kuombea ajira, hiyo ni kiserikali-serikali, kwa upande wa N.G.O'S na Private sectors nadhani wanaangalia vitu vingine zaidi!
Ndio mkuu, hata ukisoma Ulaya ni lazima kupitia TCU.Sasa mfano umesoma kuanzi 4m 1 hadi 6 Tanzania ila kwa sababu elimu ya Tanzania ndio kama unavyoiona ukaenda chuo cha serikali cha nuganda mfano makerere kuna haja ya kupitia TCU tena???
vyeti vya chuo vinapewa uhalali (simaanishi kwamba sio halali, ila ili vitambuliwe katika utaratibu wa kielimu wa Tanzania) na TCU, vya elimu ya Sekondari na Primary mamalaka husika ni NECTA. Kila la heri!Sasa mfano umesoma kuanzi 4m 1 hadi 6 Tanzania ila kwa sababu elimu ya Tanzania ndio kama unavyoiona ukaenda chuo cha serikali cha nuganda mfano makerere kuna haja ya kupitia TCU tena???
Sasa ww hapo kidogo nimekuulewa jinsi nilivykuelewa me hapa mkuu ni kwamba ukisha maliza kusoma natakiwa ni rudi tena TCU wao ndio wanatakiwa wafanye equalling grade za Uganda na hapa nchi au siyo hivyo mkuu??? Yaani ni sawa tu na mtu ambaye akitaka kusoma uganda lazima atume vyeti vyake kwanza UNEC ili wafanye equaling grade na kule au nimekosea jinsi nilivyokuelewa mkuuvyeti vya chuo vinapewa uhalali (simaanishi kwamba sio halali, ila ili vitambuliwe katika utaratibu wa kielimu wa Tanzania) na TCU, vya elimu ya Sekondari na Primary mamalaka husika ni NECTA. Kila la heri!
Kwa maana hiyo TCU kazi yao wao si wanafanya equalling grade au cyo???Ndio mkuu, hata ukisoma Ulaya ni lazima kupitia TCU.
Exactly!Sasa ww hapo kidogo nimekuulewa jinsi nilivykuelewa me hapa mkuu ni kwamba ukisha maliza kusoma natakiwa ni rudi tena TCU wao ndio wanatakiwa wafanye equalling grade za Uganda na hapa nchi au siyo hivyo mkuu??? Yaani ni sawa tu na mtu ambaye akitaka kusoma uganda lazima atume vyeti vyake kwanza UNEC ili wafanye equaling grade na kule au nimekosea jinsi nilivyokuelewa mkuu
Asante sana mkuu ngoja ni pambane kwa maana nilishakata moto tenaExactly!
all the best, ni mwiko kukata moto !Asante sana mkuu ngoja ni pambane kwa maana nilishakata moto tena
Kwrl ndugu ila humu kunawatu wanajua kukatisha moto wenzao ngoja wafike hapa mbona na chuo chenyewe unaacha siku hiyo hiyoall the best, ni mwiko kukata moto !
Ndio, kama tuu wanakitambua chuo ulichosoma na vitu ulivyosoma.Kwa maana hiyo TCU kazi yao wao si wanafanya equalling grade au cyo???
Watu ukiwasikiliza utapata tabu sana, waache waseme, kazi yetu inakua ni kuchuja yale yanayostahili, mengine ni kuyaacha kama yalivyo!Kwrl ndugu ila humu kunawatu wanajua kukatisha moto wenzao ngoja wafike hapa mbona na chuo chenyewe unaacha siku hiyo hiyo
Kwani kunaulazima wa kufanya kaz tanzania kwa maana ni mizingue tupu yaaani kuanzi huyu mzee baba ashike mpini kila sihemu ni shida tupu. Kwani ukisomea zibabwe then ukafanyie kazi huko huko mzee baba nayeye ana husika hadi hukoo??? Kwa maaana kuna mfano global education links unaweza ukawa na DE harafu wakakutagutia chuo nje ya nchi na ukapata tena kizur tu kuliko hata vya hapa nchiniWalichojibu wadau kiko sahihi kabla ya kuomba kukiunga nje lazima ujiridhishe hizo sifa zako unazojiungia huko nje kwa kozi husika kama hiyo kozi kwa Tz unafit pia siyo huku uambiwe kujiunga. form 5 lazima uwe na C 3 hlf wewe ugundue kuwa kujiunga labda Zimbabwe form 5 ni D 3 tu hlf ukasome huko ukimaliza form 6 yako kwa hapa TZ haitakubarika.
Maana sifa ulizojiungia kwa Tz ni batili.