Msaada kwa anayejua kuunganisha hili kabati

Wakubwa shikamooni, wadogo habari zenu, Naombeni msaada kwa anaejua jinsi ya kuunganisha hii anipe maelekezo plz
ce62c5c335a3f0af29a7fa6b2ff8f174.jpg
76f615424e74d719268e9647bfd769a4.jpg
Ukiweza kuunganisha,tayari wewe ni kiwanda!
 
Acha dharau wewe, pengine mwenzio ndio uwezo wake ulipofikia hapo, au amepewa zawadi kwenye birthday ya mwanae au kapewa tu na mtu,tujifunze kuheshimu vitu vya watu na ndio ustaarabu, au ulifikiri kwa kuponda kitu cha mwenzio kua ni takataka ndio wewe utaonekana ni wa high class? Narudia tena Acha dharau.
Kweli tuacheni dharau jamani,...kwenye maisha hatufanani,..
 
Hujui unachokiongea au bila shaka unaongea usichokijua au unaongea ili kufurahisha tu,

Wewe unaweza kua na kabati ya maana lakini unaishi kwenye Nyumba ya kupanga na huyo anayetumia hio kabati kwa "temporary" tu anaishi kwenye Nyumba yake,

Au wewe unaweza kua na tv ya maana lakini huna private car,na mwingine akawa na tv ya bei rahisi lakini anayo private car, haya ni maisha na kila mtu ana uamuzi wake,hiyo nimekupa ni mifano tu ya tofauti za kimaisha na uamuzi wa mtu aishi vipi?

Huko sahihi kusema hata mm naiwazia hiyo kabati bali hua sipendi kubeza kitu cha mtu au kudharau uwezo wa mtu wa kimaisha, jifunze kuheshimu vitu vya watu na uwezo wa mtu,

Badala ya kubeza uwezo wa mwenzio ungejaribu kumsaidia ingeleta maana zaidi,

The things we get in life can make us a living,the things we give to people can make a life, Never look down on anybody unless you're helping them up.
Mkuu unae busara sana,hebu agiza maji ya kunywa chupa kubwa ya baridi nitakulipia,...ndio uwezo wangu unaishia hapo kwenye maji tu
 
Vyema sana mkuu. Kwa kuongezea, wakati Mulhat anakula milo mitatu kwa mboga saba, wapo wenzie wanakula mlo mmoja na dagaa akinabadilisha kala ugali na kisamvu. Tuheshimu maamuzi ya watu, tuache majivuni kwa kuwapima watu kwa uwezo tulionao.
Na wewe pia agiza maji madogo bariid kabisa nalipa Mimi.
 
Back
Top Bottom