Msaada kwa anayejua kuunganisha hili kabati

50 had 60 hilo ni kwa matumizi ya muda tu labda kwene tents na geto wakati unajipanga me ndo nliloanzia maisha nalo

Wewe ulikaa nalo muda gan kaka. Namie nataka kununua kama hili. Maana sina laki tatu ya kuchongesha kabati la mbao. Nishauri kaka, ama nifanyeje nipate kitu cha kutunzia nguo chumban. Maana zinagaa kitandan hadi uvundo!
 
nlikaa nalo2 yrs/3 kuhama hama ndo kuliliharibu
 
Back
Top Bottom