Msaada kwa anayejua kuunganisha hili kabati

Nov 18, 2016
19
7
Wakubwa shikamooni, wadogo habari zenu, Naombeni msaada kwa anaejua jinsi ya kuunganisha hii anipe maelekezo plz
ce62c5c335a3f0af29a7fa6b2ff8f174.jpg
76f615424e74d719268e9647bfd769a4.jpg
 
Ndani ya Box hakuna kikaratasi chenye Picha na maelekezo?

Au umeuziwa na mtu ambae alikuwa anatumia, umenunua mkononi?
 
Kwa nini umepoteza pesa kununua takataka hii mkuu Duh....
Acha dharau wewe, pengine mwenzio ndio uwezo wake ulipofikia hapo, au amepewa zawadi kwenye birthday ya mwanae au kapewa tu na mtu,tujifunze kuheshimu vitu vya watu na ndio ustaarabu, au ulifikiri kwa kuponda kitu cha mwenzio kua ni takataka ndio wewe utaonekana ni wa high class? Narudia tena Acha dharau.
 
Takataka tu.!!!!!
Usikute NA wewe unawazia ushuzi huu
 
Back
Top Bottom