Msaada kwa anayejua kuunganisha hili kabati

Wewe endelea kusubiria kuletewa na wanaume. Ndio mwisho wa akili yako hapo.
Mkuu achana nae huyo,uelewa wake upo below normal,nimejaribu kumfahamisha ila ameamua kujitoa ufahamu kwa makusudi tu,

Namshangaa mpaka dakika hii hajajishtukia tu kua amegeuka kituko kwenye hii mada!!
 
pumba kabisa unanunuje huu uchafu hata mtoto mchanga hanunui kwendraaaaa uchafu huu
 
Halafu unakuja kuonyesha takataka hizi jf

Jf kila mtu anajifanya tajiri,kasoma,ana nyumba nzur,ana gari. Ukienda kuwaangalia hawana lolote. Mkuu kwa hyo picha yako. Geuza juu chini anza kuunga. Nati ya mwisho ni kwenye miguu ambayo ndio inakaza kabati
 
emoji111.png
emoji111.png
emoji111.png
pumba kabisa unanunuje huu uchafu hata mtoto mchanga hanunui kwendraaaaa uchafu huu

Wewe mtoto angalia Shule yako
Kushinda mitandaoni na kisimu chako cha Mchina kutwa unatema Pumba tupu hakutakusaidia kitu,

Tulia ufundishwe japo utapata japo akili ya kuvukia barabara,naona leo umeamua kabisa kutuonyesha kua una tatizo la uelewa na bila shaka hii imesababishwa na kujikuta umpweke kwenye hii sikukuu,ukaona bora uje JF ujifariji kwa kuponda vitu vya wenzio, hiyo sio solution unajidanganya!
 
Back
Top Bottom