Msaada kwa anayejua kuhusu chuo kikuu cha IMTU

obs2b

Member
May 31, 2016
13
2
Naomba kusaidiwa jamani kwa anaye jua karo ya imtu coz ya medical doctor yaan MD kwa mwaka ni sh ngapi za kitz pia kuna watu wawili wanataka ku upgred mmoja ni clinical officer CO na mwingine ni nurse mwenye diploma (ANO) je watachukuliwa kwenda MD wote au vip asanteni ..
 
NENDA KWENYE WEBSITE YAO AU NENDA CHUO HUSIKA KIPO MBEZI BEACH KITUO INTERCHICK
 
Naomba kusaidiwa jamani kwa anaye jua karo ya imtu coz ya medical doctor yaan MD kwa mwaka ni sh ngapi za kitz pia kuna watu wawili wanataka ku upgred mmoja ni clinical officer CO na mwingine ni nurse mwenye diploma (ANO) je watachukuliwa kwenda MD wote au vip asanteni ..
Nakifahamu vizuri ada ni 6.25M kwa mwaka na wanachukua fresh from school mostly ila yap hata service akibahatisha kupitia NACTE anaweza pata nafasi. Vyuo vikuu hamna karo kuna Ada ya chuo. Ahsante ubarikiwe
 
6.25 Millions per Year?? Oh My God!
Masikini Hasomi!! Coz Huo Mkopo Unaoambiwa Asilimia 100% hapa Umeupata Basi 35%, Na Kuulipa Huu Utafikia Kuretire Kazi Hujaumaliza.
 
6.25 Millions per Year?? Oh My God!
Masikini Hasomi!! Coz Huo Mkopo Unaoambiwa Asilimia 100% hapa Umeupata Basi 35%, Na Kuulima Huu Utafikia Kuretire Hujaumaliza.
Hapa Kazi tu bodi inatoa 3.1M hakuna cha asilimia mia wala nini hizo ni siasa tu maskini hata ukipiga two ukapangiwa hapa lazima education tu ikuhusu ubadili fani
 
Apo fresh mkuu japo ada ipo juu kudogo kwahiyo uwezekano wa kuchukuliwa hao watu wawili hapo juu upo au kuna kuhangaika hasa kwa huyo nurse?
 
Kama ndio hivo maskini hatuta soma sasa, kwani ni chuo gani chenye bei chini kidogo manake hapo ni kutafuta kumfirisi mzazi ukizingatia yeye mwenyewe hata kigari cha kutembelea cha million5 hana duuh!
 
Chuo bei ya chini, kwa mambo ya udoctor sio rahic, labda account, procurement na IT
 
Sijamaanisha bei ya chini kama unavyo fikilia, namaana ada tofauti na punguf tofauti na hiyo..
 
Kama ndio hivo maskini hatuta soma sasa, kwani ni chuo gani chenye bei chini kidogo manake hapo ni kutafuta kumfirisi mzazi ukizingatia yeye mwenyewe hata kigari cha kutembelea cha million5 hana duuh!
Kuna Hubert kailuki, ajuco ya songea, st Francis morogoro hivi walau utachangia kiasi kadhaa ila sio kikubwa Kama IMTU.
 
halaf kuna kipnd nilickia wanafunzi wanalipishwa ada kwa dola sjui wameshaacha au vp
 
Kuna Hubert kailuki, ajuco ya songea, st Francis morogoro hivi walau utachangia kiasi kadhaa ila sio kikubwa Kama IMTU.
Kairuki napo ni expensive sana, nashauri
1. St Francis 3.1m (Govt inalipa yote)
2. Archbishop James 2.6m (Govt inalipa yote)
3.CUHAS Bugando 4.1m (Govt inalipa 3.1m)
4.KCMC abt 4m (Govt inalipa 3.1m)

Kila chuo pia kuna michango (administration fees jumla ye sehem nyingi n kama laki4 hv)

Ila kwa quality ya education na exposure nakushauri chagua either CUHAS au KCMC ,hivo vingine ni elimu ya mwendokasi.
 
Unanishauri Mimi tena, mshauri mtoa mada mi mambo ya chuo wala sipo huko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom