Msaada: kwa anayeishi Arusha

Msaada: kwa anayeishi Arusha

Namanga Ni mbali na Arusha, Kama Lisaa moja na nusu kutoka Arusha mjini, mpakani na Kenya. Maisha sio ya gharama Sana, usalama upo sababu ni mpakani. Ni kamji kadogo Sema mpaka ndo umepachangamsha

Ila wajuaji na matapeli wengi sababu hizo ndo kazi za mipakani kutapeli wasafiri wasioelewa kitu. So ukifika kuwa makini Hadi uzoee kabisa mazingira

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana, nitakuwa makini na watu wa dizaini hiyo mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuu,

Mimi ni kijana wa kiume (30), hivi karibuni nimepangiwa kazi Arusha maeneo ya Namanga, ila mimi ni mgeni sijawahi kufika Arusha kabla na ukizingatia nitaishi huko, hivyo naomba kwa wenyeji wa huko wanifahamishe kuhusu upatikanaji wa vyumba na gharama zake na hali ya usalama.

Mawasiliano zaidi PM.

Ahsanteni!

Sent using Jamii Forums mobile app
DM nikupatie nyumba kama uko serious
 
Mimi nataka mtu aliye karibu au anayefanya kazi arusha national park au mtu yeyote unaemjua yuko maeneo hayo anifanyie hii kazi kuna 30000 hapa. maelezo yapo chini hapa kwa lugha ya malkia. maelezo zaidi nicheki PM

1. Go to Arusha national park and set the video camera so in the background one can see the site (with animals in sight it will be great) and the person.
2. Make sure the sound is in high quality
3. Say the following:
Greetings from Arusha National Park, Tanzania! Shalom Israel.
Arusha National Park covers Mount Meru, a prominent volcano with an elevation of 4566 m, in the Arusha Region of north eastern Tanzania.
The park is small but varied with spectacular landscapes in three distinct areas.
In the west, the Meru Crater funnels the Jekukumia River, the peak of Mount Meru lies on its rim. Ngurdoto Crater in the south-east is grassland.
The shallow alkaline Momella Lakes in the north-east have varying algal colours and are known for their wading birds.
Arusha National Park has a rich variety of wildlife, include giraffe, Cape buffalo, zebra, warthog, the black-and-white colobus monkey, the blue monkey, flamingo, elephant, bushbuck and many other African animals. Birdlife in the forest is prolific, with many forest species - Narina trogon and bar-tailed trogon are both possible highlights for visiting birders.
my trip - explore Tanzania the right way!
 
kumbe hata mimi nitaajiliwa kwa umri wangu huu hata nikisota kitaani si dhambi sana
 
Back
Top Bottom