EveningStar
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 262
- 162
Ahsante sana mkuu.Namanga ipo mkoa wa Arusha ila kilometer kadhaa kutoka mjini kwa umbali wa 60mins.
Maiha ya pale yamechangamana kutokana na kuwa karibu na mpaka wa nchi ya Kenya hivyo kupelekea kitongoji hicho kuwa changamfu wakati wote.
Kwa ujumla kama umeishi kitongoji chenye pirika pirika huwezi kushindYwa kuishi hapo, tatizo lake sehemu za mipakani kuwa makini kutokana na mazingira ya muingiliano.
Nimeishi mpakani na chumba nilikuwa nalipia 30,000 kizuri kukiwa na usalama, weekend nilikuwa najimwaga mitaa ya Koinange jijin Nairobi.
Nakushukuru sana.Ni mji wenye anasa nyingi na wajuaji wengi,hivyo umakini unahitajika sana kwa ugeni wako.
vinginevyo ni mahali salama pa kuishi.
Mbona unanitisha mkuu!, naomba nifafanulie usalama zero kivipi?Sawa ila usalama huko ni zero
Sawa mkuu, ahsante sana.Kwa vyumba vya kawaida vile vya magetoni kwetu ukihamka unona kila kitu chako,umeme,maji,geti ndani kwa ndani,usiwaze ni 40000.
Ujuaji kivipi mkuu? naomba ufafanuzi.Ni mji wenye anasa nyingi na wajuaji wengi,hivyo umakini unahitajika sana kwa ugeni wako.
vinginevyo ni mahali salama pa kuishi.
Asikutishe mkuu, usalama upo wakutosha. Ukizingatia ni eneo la mpakani kama hauna magumashi utaishi poa tu.
Yaani usalama upo
45,000 kivipi?Namanga ni nje ya mji kabisa mkuu....mpakani na Kenya..nauli kutoka Arusha mjini hapo ni 7000 kwa 45000 hiace...si mji mkubwa ni wakawaida tu..chumba ni kuanzia 20000 na kuendelea...huwa napita hapo nikielekea Nairobi
Nakushukuru sana mkuu kwa taarifa nzuri.Asikutishe mkuu, usalama upo wakutosha. Ukizingatia ni eneo la mpakani kama hauna magumashi utaishi poa tu.
Ila ukitaka kula gomba hakikisha unavuka kwanza kwenda upande wa Kenya. Usijisahau ukalia TZ utakiona cha moto.
4500 bro....typing error mkubwa45,000 kivipi?