wanawake tunabebwa wadhaifu ila ss sio dhaifu.ss ni msingi bila ss nyumba inabomoka. mwanamke aheshimiwe na wote hakuna aliye juu ya sheria sote tu sawa.
Anajua?Tulia uandike vizuri binti.
Naona analalama tu hapoAnajua?
Bila shaka wewe sio mwanamkeTaifa letu linaongozwa na mwanamke kuonesha mwanamke ana nguvu