Van Pauser
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 417
- 418
Kwa hilo sijajua mkuu ndo maana nikahitaji kwa mwenye ufahamu kwenye kada hii...Hivi kumbe hata bidhaa za kilimo zinatozwa ushuru bandarini? ile sera ya kilimo kwanza si ilikataa? au ni enzi za Jk tuu?
Nilijua bidhaa za kilimo na elimu ni bure.
Ooh..!! Asante mkuuHakuna Import Duty
Gharama zipo mkuu.So hakuna garama zozote unalipia pale bandarini?
Shukrani mkuu.Gharama zipo mkuu.
Utalipa wharfage.
1.25% of CIF value kama sijakosea
Pia utalipa CPF asilimia yake zake nimesahau kidogo pia inakuwa calculated kwenye CIF value.
But there will be no import duties and VAT.
The rest unaweza ingia kwenye website ya TRA ukaangalie kwenye EAST AFRICAN CUSTOMS TARRIF BOOK ukawa na uhakika zaidi wa.
sent using Simenzi mayai
Habari za muda huu wapendwa. Natumaini mnaendelea vyema na mapambano ya COVID 19 bila shaka Mungu anawasimamia kila iitwapo leo.
Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.. Mimi kama kijana ambaye mwenye ari ya kufanya kilimo nahitaji kuagiza tractor nje ya nchi ila kinachonipa ugumu ni gharama za kodi ya TRA maana nimefuatilia tractor kwa nje ya nchi sio bei kubwa sana kama ilivyo hapa nchini...
Kwa mwenye uelewa juu ya kodi za TRA zilivyo ninaomba anipe ujuzi maana nahitaji sana tractor.
Nawasilisha
Van Pauser.
Sent using Jamii Forums mobile app
Second hands ndo zipoje hzo mkuuMkuuu haina kodi,naishi nje ukitaka Masaada wa mawazo nifuate,nimewahi yasafirisha (second hands tractors) nchi za west africa ambako ni karibu na europe hapa
Sent from my iPad using JamiiForums
Nadhan atakua anazungumzia gharana nyingine zra bandarini zaidi ya kodi..... Au likishafika unachukua tuu bila hata kulipa hata mia?ZANA za kilimo Hazina kodi
Nimekupata mkuuNamaanisha trekta lililotumika,sababu jipya la mzungu bei imesimama sana,ila trekta second hand (lililotumika)bado lote sababu wazungu wanamatumizi mazuri sana ya vifaa
Sent from my iPad using JamiiForums
Mku tunaomba bei ya massey 165/290 usedNamaanisha trekta lililotumika,sababu jipya la mzungu bei imesimama sana,ila trekta second hand (lililotumika)bado lote sababu wazungu wanamatumizi mazuri sana ya vifaa.
Sent from my iPad using JamiiForums
Mkuu kwema? samahani,uliweza kuagiza tractor?kama ulifanikiwa naomba msaada tafadhali kuhusu nchi uliyoagiza,kampuni itakua vizuri kama nitapata website yao pia ilitumia mda gani kufika na baada ya kuiona ubora wake ukoje? AsanteHabari za muda huu wapendwa. Natumaini mnaendelea vyema na mapambano ya COVID 19 bila shaka Mungu anawasimamia kila iitwapo leo.
Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.. Mimi kama kijana ambaye mwenye ari ya kufanya kilimo nahitaji kuagiza tractor nje ya nchi ila kinachonipa ugumu ni gharama za kodi ya TRA maana nimefuatilia tractor kwa nje ya nchi sio bei kubwa sana kama ilivyo hapa nchini...
Kwa mwenye uelewa juu ya kodi za TRA zilivyo ninaomba anipe ujuzi maana nahitaji sana tractor.
Nawasilisha
Van Pauser.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikufanikiwa boss... Nliamua kununua kwa mtu ambaye alikuwa na shida hvyo ckuagiza nje.Mkuu kwema? samahani,uliweza kuagiza tractor?kama ulifanikiwa naomba msaada tafadhali kuhusu nchi uliyoagiza,kampuni itakua vizuri kama nitapata website yao pia ilitumia mda gani kufika na baada ya kuiona ubora wake ukoje? Asante
Ni tractor flan hv za kihindi znaitwa SwarajOk,hiyo uliyopata ni brand gani?
Ok,utanipa uzoefu (ubora na mapungufu) yake maana kuna New Holland nazo ninazisikia ziko vizuri,Ni tractor flan hv za kihindi znaitwa Swaraj