Msaada kwa anayefahamu Bachelor of Law UDSM

Msaada kwa anayefahamu Bachelor of Law UDSM

Si kweli. But everything goes with education. kwa wengine watasema kila kitu tecgnology.
Sheria inagusa kila angle ya maisha inadeal na human social behaviour! Ukweli kuwa hii ni noble profession haupingiki
 
Pia Unaposema Education Ni Pana. Ndio Maana Nika Specify Law. Ukisema Everything Goes With Tecgnology. Wahadzabe Au Khoisan Wa Kalahari Desert Wana Technology Ipi? Lakini Zipo Laws Zinazo Walinda.

ROMA LOCUTA CAUSA FINITA.
 
Back
Top Bottom