Msaada kwa anayefahamu Bachelor of Law UDSM

Msaada kwa anayefahamu Bachelor of Law UDSM

Hongeraaa kupata noble profession
Kuwa mbunifu, jenga connection nzuri
(friends & firms), penda kusoma novels,
(crimes), piga msuli, fanya research na Mwisho Mungu kwanza. Utatoka kama kina mkono, msando nk
Binafsi sio mwanasheria ila na Wafahamu lawyers.
My take law ni nzuri kama upo compitent. Enjoy law life.
 
Asanteeee sanaaa. sanaaa
 
Aende tumaini university makumira pale ni miaka mitatu..
Ila Udsm mi4
St Augustine mwanza pia mi4.
Sijajua mzumbe......
Hata tumaini ya dar (turdaco) pia mi3..
 
Aaaaaah hiyooo haisumbuiii sanaaaa vp kuhusu changamotoo za chuo mixer hostel

kama unapenda raha omba wakupange mabibo hostel ila kama n mtu wa kusoma kwel omba wakupange main campus hostels
 
Vp hostel nazoo unaezaaa kuchaguaa

udsm uwez omba hostel labda uwe unafahamiana na kiongoz mkubwa pale akufanyie mafekechenism
or else ununue room ya hostel unayoipenda watu wanauza sana room mbona
 
Hakuna noble profession. Kujifariji tu. Tunategemeana.
Hongeraaa kupata noble profession
Kuwa mbunifu, jenga connection nzuri
(friends & firms), penda kusoma novels,
(crimes), piga msuli, fanya research na Mwisho Mungu kwanza. Utatoka kama kina mkono, msando nk
Binafsi sio mwanasheria ila na Wafahamu lawyers.
My take law ni nzuri kama upo compitent. Enjoy law life.
 
Aende tumaini university makumira pale ni miaka mitatu..
Ila Udsm mi4
St Augustine mwanza pia mi4.
Sijajua mzumbe......
Hata tumaini ya dar (turdaco) pia mi3..
mkuu vipi makumira kwa law?

kiko vizuri?
 
Law ya udsm inaniuzi sababu ni miaka 4
Kwanini Unalaumu Miaka 4? Suppose Ingekuwa 3 Then Wanasqueeze Vitu Ambavyo Ungevielewa Vizuri Kwa 4 Years? Huoni Hata Harvard, Cambridge nk. Ni 4 Years? Itakuwaje Mbongo Afundishwe 3?
Nawasilisha.
 
Aende tumaini university makumira pale ni miaka mitatu..
Ila Udsm mi4
St Augustine mwanza pia mi4.
Sijajua mzumbe......
Hata tumaini ya dar (turdaco) pia mi3..
Acha Mawazo Ya Kivivu. Outstanding Law Ni 4 Years and Above. Hivyo Vyuo Vipo Kibiashara Zaidi Kuliko Taaluma.
Kwanini Tusiangalie Mfano Kwa Marekani Ambapo Wapo Vizuri Kwenye Law? Naona Hivi Vyuo Vya 3 Years Vinawalemaza Students.
 
It's Bare Fact. Acha Ka Wivu. Sijakataa law inategemea Fani Nyingine Kama Forensic Science But Everything Goes With Law In This World.
Si kweli. But everything goes with education. kwa wengine watasema kila kitu tecgnology.
 
Back
Top Bottom