kelvin nir
Member
- Apr 20, 2025
- 18
- 21
IP ni fani nzuri kati ya medical doctor vs bachelor of law
Swali lako ni sawa na kusema maji na umeme kipi Bora.IP ni fani nzuri kati ya medical doctor vs bachelor of law
Chukua MD mimi mwenyewe nataka nijiunge MDNahitaji kujiunga na masomo ivo nimeuliza ipi ni fani nzuri kati ya law na MD kwa maslahi mapana ya kiutafutaji aidha kwa kujiajili na kuajiliwa?
Ushauri wenu n mhimu sana kabla dirisha la udahili halijafungiluwa ili nijue nn naenda kujikita nacho
Veterinary medicineUmesomea nn background yako ni ipi au ndio unasikiliza ushauri kama ni hivyo tuambie wewe umesomea nini tukushauri mtu wa diploma au coz form six wap shule
Kama Umesoma Vet, Huwezi kuuliza Hilo swali Trust meVeterinary medicine
Matokeo yako yakoje? Na mbona hazina uhusiano hizo fani? Kwan advance ulisoma comb gani? Tuanzie hapo.Nahitaji kujiunga na masomo ivo nimeuliza ipi ni fani nzuri kati ya law na MD kwa maslahi mapana ya kiutafutaji aidha kwa kujiajili na kuajiliwa?
Ushauri wenu n mhimu sana kabla dirisha la udahili halijafungiluwa ili nijue nn naenda kujikita nacho
Sasa Vet, inahusu nn na LAW? tena bachelor? Hivi hata mtu alotoka Vet Dip anaweza soma MD? Lol.Veterinary medicine
Hata mie nimeshangaa kabisa, inawezekanaje hii. UwiiiiihKama Umesoma Vet, Huwezi kuuliza Hilo swali Trust me
Vijana wetu Huwa mnachanganyikiwa mkishamaliza form six, Iko hivi unaposoma medical doctor urahisi wa mkono kwenda kinywani ni 75%IP ni fani nzuri kati ya medical doctor vs bachelor of law
Sifa za Kuingia MD ninazoVeterinary med to md,, hiyo haiwezekani, anatomy ya ng'ombe na binadamu vitu viwili tofauti .. ungesema from C.O to MD sawa