Msaada kwa anaejua Tax ( kodi) vzuri

C_O

Member
Jan 3, 2019
54
33
Kama uandaaji wa vitabu vya kodi kwa upande wa mfanya biashara je huandaliwa sawa na vitabu/makabati (samahani kwenye A/C ndivyo tulikuwa tunaziita) vya/ya income statement na balance sheet ??

Na je ni vitabu ivyo vitatu muim kwny biashara au kuna vingne zaid??
 
Upo mkoa gn?
 
Financial statement ni summary ya transactions zako zote ulizozifanya mwaka mzima kwenye biashara yako kama mapato na matumizi, mali zisizohamishika, madeni ya wateja na ya Kampuni kutokana na huduma mbalimbali inayopewa Kampuni nk. Bila ya hayo kufahamika na kuwa na kumbukumbu nzuri na bora utengenezaji wa Financial Statement iliyo sahihi unakuwa mgumu na hauwezekani. Financial statement inaanzia kwenye balance sheet, profit and loss account, balance sheet hadi cash flow.
 
Sas tax unaandaaje na pia details zinazohusika
 
Kwanza ungeliweka swali lako vema ueleweke wewe unafanya biashara katika muundo wa kampuni au mtu binafsi? Kama mtu binafsi mauzo yako ni sawa au zaidi ya mil 20?
Ukiachana na hayo, katika kuandaa hesabu za mizania kodi utaipata kutoka katika sehemu mojawapo ya mahesabu ya mizania, ie hesabu za mapato na matumizi. Kodi utachukua ile faida uliyopata zidisha kwa 30%. Kwa kifupi kabisa
Kwa maelezo zaidi mtafute mshauri wa kodi alie jirani nawe au tucheki mhasibu.caa@gmail.com

Back
Top Bottom