Msaada kwa anaejua kuhusu email

tqr

Member
Jul 7, 2017
61
22
Jamani naomba msaada kuhusu email yangu kila ninapoingiza data kuiludisha inagoma coz tatizo hili limekuja baada ya kununu sm mpya so sijui tatizo laweza kuwa ni nn msaada plz
 
umeingiza passwords correct kabisa au umesahau password usisahau hata nucta wakati unaingiza hapo sawa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom