msaada kwa anaeifahamu YETU microfinance

msaada kwa anaeifahamu YETU microfinance

shekhe89

Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
49
Reaction score
2
Habari zenu wana jamvi, mm ni kijana kutoka zanzibar, hii kampuni wamenipigia simu kwmba wananihitaji cku ya jmosi kwa ajili ya kufanya interview, naomba kwa anaefahamu hii kampuni anipe ushauri wowote
asanteni
+255 772 993 820
 
Hiv coy ndiyo nini? hiv nyie watu mnajuwa kupata kazi ni sawa na kuuza mitumba eti?

haya subili
 
Yan hata websie umeshindwa kutafuta??kweli wabongo hatuko serious halafu tunalia lia wakat ukipewa fursa unashinmdwa kujiongeza

mkuu hapana maelezeo kwmba nimeshndwa kutafta info kwa website hapo. soma vizuri tafadhali
but any way thx
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom