Msaada kwa anaefahamu mambo ya computer

Msaada kwa anaefahamu mambo ya computer

Joined
Mar 27, 2019
Posts
40
Reaction score
32
Habari za majukumu wapendwa.

Kama kichwa kinavyosema Nina laptop yangu hapa aina ya Toshiba Inaendeshwa kwa window 10.na inakamera kwa mbele.
Sasa nilikua ninaitaji niwe naongea na na watu kupitia vidio call na pia hata sim za kawaida.
Je nitawezaje kufanikisha hayo?
Ninahitaji msaada kwa aejua
Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza ongea Thru wutsup, Facebook, Skype kama kawaida. Insatll izo Apps au tumia browser

Siyakukothamela Sonini na nini
 
Yani ww ndio mndengeleko.

Ksma hadi mwaka huu hujui kuunganisha whatsapp kwenye Pc yako, hata kupiga FB call hujui, hata Skype hujui sasa sijui unsjua nn
Leo hii shule mwalimu ninae.
Mkuu mi sikuelewi sijui ni mchina wewe au mdengeleko wa iyombo? Kakiswahili basi kidogo ili tuelewane

Sent using Jamii Forums mobile app

Siyakukothamela Sonini na nini
 
Write your reply... huyo mtu unaetaka kuwasiliana nae kwa video call anatumia mtandao gan!? skype,fb,au whatsapp? cha kufanya download and install bluestacks, ikiingia hyo unauwezo wa kudownload apps zote za android, inakua kama simu unadownload kuptia playstore kama kawaida HAPO HAPO KWENYE PC

dmd
 
Hakuna haja ya bluestacks. App za windows zipo moja kwa moja

Siyakukothamela Sonini na nini
 
Write your reply... huyo mtu unaetaka kuwasiliana nae kwa video call anatumia mtandao gan!? skype,fb,au whatsapp? cha kufanya download and install bluestacks, ikiingia hyo unauwezo wa kudownload apps zote za android, inakua kama simu unadownload kuptia playstore kama kawaida HAPO HAPO KWENYE PC

dmd
Hapana mkuu sina mtu yeyote ila ninataka laptop yangu niwe ninaitumia kupiga vidio call na Voice call

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom