MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,287
- 13,705
Kama kichwa cha Mada kinavosema, nahitaji msaada kutoka kwa mtu yeyote aliyefanikiwa kutumia Tigo Pesa API
Kwama unataka kutumia kwenye app yako ya Android pitia tutorial hii Android JSON Parser itakufundisha jinsi ya kumia JSON katika ukuandika app za android. Pia unatakiwa uwe na server yako private utakayo tumia kuunganisha na server za tigo pessa. App yako itaconnect na private server yako then server yako itatumia secret key uliyopewa na tigo kuconnect na server zao.Usitumie secret key kwenye app yako kuconnect moja kwa moja na server za tigo pessa kwani hackers wanaweza ku analyze communication za app yako katika simu zao na account yako ya tigo ikawa hackedKama kichwa cha Mada kinavosema, nahitaji msaada kutoka kwa mtu yeyote aliyefanikiwa kutumia Tigo Pesa API
Hapo kwenye server ndio kimbembe, umeme wenyewe wa mafungu. Labda utumie cloud Windows Azure.Kwama unataka kutumia kwenye app yako ya Android pitia tutorial hii Android JSON Parser itakufundisha jinsi ya kumia JSON katika ukuandika app za android. Pia unatakiwa huwe na server yako private utakayo tumia kuunganisha na server za tigo pessa. App yako itaconnect na private server yako then server yako itatumia secret key uliyopewa na tigo kuconnect na server zao
Labda,Hapo kwenye server ndio kimbembe, umeme wenyewe wa mafungu. Labda utumie cloud Windows Azure.
I was thinking to host the Project on IAAS mojawapoLabda,
ni makampuni na developer s wenye resources za kutosha wanaweza kutengeneza app inayotumia tigo api. Namshaur jamaa hasipoteze muda wake na hii kitu
Sijakuelewa hapa.. Ina maana mtu mwenye start up hawezi kutumia hii? Nadhani hata hizo zinaitwa kampuni kubwa kuna wakati zilikuwa kampuni ndogo..Labda,
ni makampuni na developer s wenye resources za kutosha wanaweza kutengeneza app inayotumia tigo api. Namshaur jamaa hasipoteze muda wake na hii kitu
ndioTigo Pesa wana API?
Wanayo. Iliachiwa mwaka janaTigo Pesa wana API?
Kama kichwa cha Mada kinavosema, nahitaji msaada kutoka kwa mtu yeyote aliyefanikiwa kutumia Tigo Pesa API
Unataka kutengeneza app ya aina gani kwenye ishu ya payment na mobile money?? Fafaunua ili upatie msaada unaohitajiKama kichwa cha Mada kinavosema, nahitaji msaada kutoka kwa mtu yeyote aliyefanikiwa kutumia Tigo Pesa API
Hello!Kama kichwa cha Mada kinavosema, nahitaji msaada kutoka kwa mtu yeyote aliyefanikiwa kutumia Tigo Pesa API
Hello!
Ulifanikiwa hii kitu?[/QUOTE Bado, ni PM
Hapo kwenye server ndio kimbembe, umeme wenyewe wa mafungu. Labda utumie cloud Windows Azure.
thanks for your guide,update your linksJaribu kupitia hapa!
GitHub - kileha3/TigoPesa-Android: Android helper library to help you when dealing with Tigo Pesa payment API.It will make all calls for you there is no need to rewrite al calls as specified on their documentation.
GitHub - kileha3/TigoPesa-PHP: PHP helper library to help you when dealing with Tigo Pesa payment API.It will make all calls for you there is no need to rewrite al calls as specified on their documentation.