Msaada kwa aliye na ufahamu....!

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
864
nilinunua hisa kwenye UNIT TRUST OF TANZANIA( UMOJA), miaka kumi na kitu iliyopita. tofauti na hisa nilizonunua sehemu nyingine , mfano TANGA CEMENT NK, hii la umoja sijawahi kupata gawio muda woote huo , jamani naomba msaada kwa wajuzi nifanyeje ama nipate gawio kama liko au niachane na mfuko huu sina faida nao.
 
Kwanza inategmea umewekeza katka mfuko gani na Kwa msaada zaid nakushaur nenda kweny branch zao wakupe taarfa zaid
 
Back
Top Bottom