Msaada kuweka custom rom ya kitkat

Natumia cyanogenmod11 ila hyo kitu ya kuweka 3g tu au 2g unaweza ukaiweka ukiingia kwenye hii secret menu *#*#4636#*# unachagua itumie radio gan kama gsm only itakua 2g tu wcdma only itakua 3g ukiweka zile za preffered itachagua yenyewe

nimeshawahama nipo omni, huwa mimi sipendi custom rom napenda touchwiz tu sema simu yangu hawajaipa kitkat ikabidi tu nihame.

jaribu omni ni kama cyanogen imetengenezwa na kina chainfire, inapata updates za mara kwa mara pia ni stable though kuna crash moja moja.
 
Jamani mi mgeni Wa IT,hiyo custom rom ndo nini hasa na inafaida gani.

Ndugu Muntu Ya Pori huhitaju kuwa IT kujifunza haya mambo. Ukitaka tu kupanua maarifa ukajifunza terminologies na steps ndogondogo za kujifunza kuweka ROM.
Custom ROM ni operating system ambayo inakuwa imetoka kwa ajili ya device fulani ambayo ni mbadala wa stock ya Operating system iliyokuja na simu. Mara nyingi Custom ROM's zina improvement zaidi ya stock ROM. Kama kwenye ufanisi, mpangilio na mengine mengi. Uli upate Custom ROM ni muhimu ukawa na root access pamoja na Recovery ambayo ni kama BIOS kwenye pc. Ukigoogle utajifunza zaidi ya hizi sentensi zangu chache.
 
Last edited by a moderator:
kweli kabisa nimepata iyo menu na nimebadilisha...Cyanogenmod 11 tamu sanaaa
 
chief-mkwawa Asante sana..nimefanikiwa kuweka CM 11 kwenye huawei...lakini sasa hii simu nyingine(mtk) inagoma hata kuBoot into recovery
 
Last edited by a moderator:
Ndio haina recovery..lakini kuweka ndo inashindikana..ile rom manager cjaona option ya kuInstal via sd card
NimeDownload mobileUncle..lakini nikiInstal ile recovery..cm inajiRebot then ikifika kweny logo inazima
 
download mode je inayo? tumia volume down na power kama ipo tumia odin
 
chief kuna mama kaniletea p5 yake tecno ina tatizo la network...yaani akiwasha internet basi line zinakua zinajirestart pale..ila asipoweka net simu iko poa..je suluhisho lake ni nn??
 
chief kuna mama kaniletea p5 yake tecno ina tatizo la network...yaani akiwasha internet basi line zinakua zinajirestart pale..ila asipoweka net simu iko poa..je suluhisho lake ni nn??

Kaka ingekua ni samsung ningekwambia uflash software mpya ya modem ila kwa simu za mediatek hata sjui unapatch vp.

Umejaribu kufanya troubleshoot ndogo ndogo kama kureset simu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…