Msaada kuusu cource za zinao husu comb ya EGM

Msaada kuusu cource za zinao husu comb ya EGM

1. Bachelor of science in agriculture and agribusiness

2. Bachelor of Arts with Education

Etc
 
I guess hata Applied Geology and Bsc with geology ana- qualify
 
Bachelor of science in Mathematics

Bachelor of science with education

Bachelor of education in Mathematics

Hiyo ya mwisho ukisoma utakuja kunishukuru japo ni ualimu, ukiwa nondo hutojutia
 
Ziko kibao course za bussiness zote
Mambo ya IT
Statistics & geomatics
Kati ya IT na Geomatics ipi imekaa vizuri mtaani kwa case ya ajira, tunaomba uzoefu wako mkuu.
 
IT hutakaa ujutie hiyo geomatica ipo ndani ya IT
Japo ulikuwa stressed ila nadhani bado una jambo zuri ulitaka kushare nasi kati ya hizi kozi mbili, yaani geomatics na IT.

Funguka mtu mzima watu tufaidike leo hata kesho.
 
Naomba kujua zaid cource zinazo husu comb ya EGM
Kozi zipo nyingi sana. Kwa maelezo ya ziada ,ushauri wa uhakika na muongozo wasiliana na Fulgent Careers kupitia namba 0769 524 022.
Gharama yetu ni Tsh 10,000 tu.
 
Japo ulikuwa stressed ila nadhani bado una jambo zuri ulitaka kushare nasi kati ya hizi kozi mbili, yaani geomatics na IT.

Funguka mtu mzima watu tufaidike leo hata kesho.
Kwa uelewa wangu ukisemea IT ni pana sana mkuu mana utasoma kila aina ya technology duniani

But geomatics ina deal

mambo ya environmental visualization zaidi (mambo ya uso wa dunia zaidi kama utabili wa hali ya hewa) ikihuaisha kiasi kidogo sana cha IT
Kwa uelewa wangu hapo geography inabidi iwe imelala huku IT hesabu kidogo iwe imelala
 
Shukran sana mkuu, nadhani nitafanya chaguo lililo sahihi zaidi kutokana na michango ya wadau kama wewe.
Shukran kwa mara nyingine...
 
Back
Top Bottom