Msaada: Kuunga WIFI 5 kwenye laptop

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,188
3,360
Habari zenu wakuu, Naombeni mnisaide kama kuna njia wa kuunga wifi networks 5 kwenye laptop ili niweze kupata speed nzuri.
 
Dah hii connectify didpatch inazingua sana kwa mashine za hp...nmeupdate drivers lakini connectify wansnipa error ya drivers
connectify inakuja na driver zake zenyewe, wanayo service nyengine inaitwa speedify unapata trial ya 1GB kila mwezi unaweza ijaribu nayo.
 
Back
Top Bottom