msaada kuunga Internet ktk iPhone 4.

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
13,653
30,895
wakuu vipi?
naomba masses wa procedures katika kuunganisha configurations za Internet in iPhone 4.
now nikiingia net itakaa kuzunguka ata masaa sita without any effect.
natanguliza shukrani.
 
Unatumia line gani? Nmetumia iPhone 3gs, 4, 4s, na sasa 5 kwa vodacom sikuwahi kuingiza configuration zozote na sijawahi kukosa net!! voda naona sku hizi ukitoa line ukirudisha wanakutumia seting za internet lakini mara zote naziignore na napata net kama kawaida! Otherwise ungejaribu kusave hizo configuration wanazotuma huenda ikakusaidia. au ni kitu cha Guangzhou?...im kidding maan!
 
Wakuu nami pia nimekwama setting za data kwa lain ya tigo kwenye HTC 1x.........msaada plzz
 
Mbona iPhone haiihitaji configuration? Sina uhakika mkuu ila sijwahi kufanya configuration yoyote na huwa nabadilisha line za kila aina hadi za nchi nyingine na sipati taabu!
 
iPhone haina matatizo ya configuration kama kwenye Nokia, yangu sijafanya configuration yeyoyote na nakamua internet mitandao yote.. ukishindwa kabisa jaribu pia kuweka neno "internet" kwenye APN ( SETTINGS-GENERAL-CELLULAR- APN ),,,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom