Wakuu habarini za mihangaiko.
Ninatatizo la kuumwa na mishipa ya kichwa (katikati ya nyusi za uso na sikio) upande wa kushoto na kulia. Ni tatizo lililojitokeza kama wk mbili hivi zilizopita, huwa nameza paracetamol, inapungua maumivu na siku zinasonga. Ila sasa hivi naona linazidi, napata maumivu makali sana na sometimes hata kichwa nacho huuma sana.
Naombeni ushauri; hii itakuwa ugonjwa gani? Tiba yake ni nini?
Asante wakuu, nasubiri ushauri wenu......