Msaada;Maumivu ya kichwa mara kwa mara

Kinjekitile Jr

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
414
1,139
Wakuu Poleni kwa muha hai ko ya hapa na pale kwa sababu ya kutafuta riziki ili nchi yetu pendwa iweze kusonga mbele

Wakuu samahanini!!!!!!

Kwa muda wa wiki kama tatu hivi nimekuwa nikisumbuliwa na Maumivu makali sana ya kichwa hasa upande wa kushoto mpaka machozi yananitoka na jicho la upande wa kushoto linakuwa halitazami vyema…….hali iliyo pelekea kwenda kwa daktari ila vipimo vikasema nina malaria

Nilipewa vidonge pamoja na kuchomwa sindano Iakini hali imekuwa mbaya zaidi kwani Maumivu yakianza,yanaweza kukaa sio chini ya masaa 2 tena Maumivu makali kweli kweli.

Kwa mwenye uelewa wowote ninaomba anisaidie kwa hali hii na mungu wa mbinguni awatie nguvu na muwe na maisha mema popote mlipo

~Udsm student
 
Kuna sehemu kuna typing error,hivyo basi mnapaswa mnisamehe kwa maandiko yangu tenge
 
Kuumwa kichwa sio ugonjwa, Bali ni tatizo ambalo linatoa ishara kuwa kuna kitu hakipo sawa mwilini mwako...

Moja ya vitu vinavyopelekea tatzo la kuumwa kichwa mara kwa mara ni kama ifuatavyo:

  • Magonjwa yanayosababishwa na vimelea e.g Malaria
  • kupungukiwa damu mwilini
  • kupungukiwa maji mwilini
  • Shinikizo la damu
  • Kisukari (hasa hasa low blood sugar)
  • pressure ya jicho
  • Vyakula vyenye viambata vinavyoweza kuwa sumu mwilini
  • matumizi ya pombe
List ni ndefu sana,

ni vyema ukarudi hospitali kwa ajili ya check up zaidi, ila jitahidi kunywa maji mengi kwa ajili ya kurestore blood volume na kusafisha sumu mwilini.
 
Sawa mkuu nashukuru sana
 
Mkuu hapo kacheck macho ccbrt kama upo dar
Kisha kafanye MRI ya kichwa

Mara nyingi sana maumivu makali ya kichwa husababishwa pia na uvimbe kwenye ubongo
Mwanangu alipitia hii changamoto
 
Mi ninayo about five years now, huwa inanichukua miezi ila kinauma kwa msimu, kama hapa kimenitesa last two weeks na ninajua huu mwezi hautaisha kitaanza upya,

Sijawah kwenda hospital ila kwa experience yangu ichi kichwa kinasababishwa damu lakini connected to eyes sasa sijajua kuna mechanism gani hapo, maji hayasaidii zaidi ndo yanaongeza tatizo, kikianza kuuma punguza ratio ya maji mda ambao huwa kinauma mpka upone,
Nishakua na assumptions nyingi sana ila ambazo nahisi ni kweli ni huwa mishipa ya damu inayoenda kwenye macho inakua na misinformation na damu sa sijajua damu inakua inaongezeka au haitoshi,

95% ya maumivu huwa nayapata asubuhi hasa baada ya kushiba msimu ambao kinaanza kuuma, kuna kipindi maumivu yanakua makali mpaka unatamani kichwa kipasuke ila ndo nishazoea kikianza nafunga macho naskilizia kama ni machozi nalia mpaka kipoe.

Pole kwa tatizo, na nimeandika hivi ili kama kuna mtaalamu atusaidie maana tatizo lako naona linafanana na langu na litakua ni moja.
NB: Hospital nimeenda mara nyingi wananipa dawa za kawaida sana ambazo hazisaidii, vipimo vikubwa nimeshindwa kufanya sababu ya fedha ndo mana nimeamua kupambana na hali yangu.
 
Jaribu kuchunguzwa kuindani zaidi, inaweza ikawa ni aina fulani ya uvimbe katika eneo la kichwa unapohisi maumivu.
 
Mkuu hapo kacheck macho ccbrt kama upo dar
Kisha kafanye MRI ya kichwa

Mara nyingi sana maumivu makali ya kichwa husababishwa pia na uvimbe kwenye ubongo
Mwanangu alipitia hii changamoto

Hiyo MRI wanaweza kupokea bima!?
 
Mi ninayo about five years now, huwa inanichukua miezi ila kinauma kwa msimu, kama hapa kimenitesa last two weeks na ninajua huu mwezi hautaisha kitaanza upya,

Sijawah kwenda hospital ila kwa experience yangu ichi kichwa kinasababishwa damu lakini connected to eyes sasa sijajua kuna mechanism gani hapo, maji hayasaidii zaidi ndo yanaongeza tatizo, kikianza kuuma punguza ratio ya maji mda ambao huwa kinauma mpka upone,
Nishakua na assumptions nyingi sana ila ambazo nahisi ni kweli ni huwa mishipa ya damu inayoenda kwenye macho inakua na misinformation na damu sa sijajua damu inakua inaongezeka au haitoshi,

95% ya maumivu huwa nayapata asubuhi hasa baada ya kushiba msimu ambao kinaanza kuuma, kuna kipindi maumivu yanakua makali mpaka unatamani kichwa kipasuke ila ndo nishazoea kikianza nafunga macho naskilizia kama ni machozi nalia mpaka kipoe.

Pole kwa tatizo, na nimeandika hivi ili kama kuna mtaalamu atusaidie maana tatizo lako naona linafanana na langu na litakua ni moja.
NB: Hospital nimeenda mara nyingi wananipa dawa za kawaida sana ambazo hazisaidii, vipimo vikubwa nimeshindwa kufanya sababu ya fedha ndo mana nimeamua kupambana na hali yangu.

Daaah pole sana mkuu ila acha tukaze roho labda mungu atasaidia……lakini nafikiri bima inasaidia sana
 
Yeah, sio tatizo dogo ila sasa sijawahi kuona mtu wangu wa karibu au nnayemfahamu anapitia hii hadi ulipoandika hapa

Juzi nimeenda kufanyiwa maombi kanisani hali yangu inaendelea vyema kwa sasa!!!! Sijajua kama tatizo litajirudia huko mbeleni……Sijajua wewe ni dini gani lakini kama ni Muikristo basi mtafute mchungaji nafikiri atakusaidia…….Ni Imani yako tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom