kama pad yako ina button ilioandikwa analog ibonyeze uone kama taa inawaka, au kama kuna alama yoyote inayoonyesha pad imekuwa connected.
kama una uhakika pad ni nzima na imekua connected fungua folder lako ulipo install pes halafu fungua settings nenda kwenye joystick then map button zako za pad na pes.